📄 Taarifa Rasmi Kuhusu Usajili wa Bitabuy Market
Bitabuy Market ni kampuni halali iliyosajiliwa rasmi nchini Tanzania chini ya mamlaka ya Brela (Business Registrations and Licensing Agency).
Jina kamili la kampuni ni: BITABUY COMPANY LIMITED
Namba ya Usajili: 609016
Nchi ya Usajili: Tanzania
Mwaka wa Usajili: 2024
Bitabuy Market inafanya kazi kwa mujibu wa sheria za nchi na inatoa huduma za kidijitali zenye lengo la kuwawezesha Watanzania na Waafrika kwa ujumla kupata fursa za kujifunza, kujiendeleza, na kutengeneza kipato kupitia teknolojia ya mtandao.
Huduma zinazotolewa ni pamoja na:
✔️ Mafunzo ya digital marketing, forex na AI (akili bandia)
✔️ Elimu ya ujasiriamali wa mtandaoni
✔️ Kazi rahisi kama kutazama video na kushiriki tafiti
✔️ Uwezeshaji wa wafanyabiashara na vijana kujiajiri kupitia simu au kompyuta
Kwa maelezo zaidi au uthibitisho wa usajili, unaweza kuwasiliana na timu ya Bitabuy kupitia tovuti rasmi: www.bitabuy.africa
⚠️ Angalizo: Bitabuy siyo piramidi wala mtandao wa utapeli. Ni kampuni halali yenye mfumo wa wazi wa elimu na kazi za kidijitali. Usalama na faragha ya watumiaji umepewa kipaumbele kikubwa.
Unaweza kujiunga leo kwa bonyeza hapa: 👉 Jisajili Hapa
0 Comments